Uwepo 6(2026)@ANDYGUNYU

ANDYGUNYU www.youtube.com

Brief Summary

This video discusses the concept of individual existence and purpose, emphasizing that each person's existence is solely for and belongs to those within their immediate sphere of influence, such as family, nation, and God. It highlights the idea that one's presence is a testament to their belonging and connection to these entities, and that reciprocally, these entities are also inherently connected to the individual. The video concludes by affirming that individuals are always with those to whom they belong, experiencing a state of rest and fulfillment.

  • Each person's existence is solely for those within their immediate sphere.
  • One's presence is a testament to their belonging and connection.
  • Individuals are always with those to whom they belong, experiencing fulfillment.

Introduction

The speaker introduces the core message: you exist solely for those connected to you, and they exist solely for you. Your existence is not meant for anyone else but is exclusively for those within your sphere. Similarly, those connected to you are there only for you.

The Uniqueness of Your Existence

The speaker elaborates that you were not created to exist for others outside your immediate connections. Your primary purpose is to be with those to whom you are connected, to sit with them and be present. The main function of your existence is to be with and for those who are inherently yours.

Belonging and Purpose

You belong to and exist for your father, always present with him. You were not sent to serve your father on behalf of your mother, but to exist for your father himself. Similarly, you exist for your mother, not to serve her on behalf of your father. Your role is to be with each of them individually.

Relationships and Connections

The speaker explains that you exist to be with your siblings, not to serve them on behalf of others. God created you to be with Him, reflecting His image, not to serve other entities on His behalf. Your father created you to be with him, ensuring he remains your father forever.

National and Familial Identity

Being part of a nation or tribe means you are meant to be with that nation or tribe, not to exist for other nations or tribes. You exist for those within your immediate sphere, fulfilling the purpose for which you were created or brought into existence.

Testament of Your Existence

Your existence proves your connection to God, your father, your mother, and your nation. You are the complete evidence and testimony that you belong to them, and your presence confirms this belonging. You are not for anyone else but those within your sphere.

Affirmation of Belonging

Whatever is within your existence belongs to you, and you belong to it. This mutual belonging is a complete testament, and your life is spent with those to whom you belong. You exist where you are because you belong there, and everything there is for your use and to validate your existence.

Mutual Ownership and Harmony

Just as you belong to those in your existence, they belong to you. There is no rejection between you and those who are part of your existence because you are alike and compatible. Nothing can separate you, and your presence confirms your connection.

Confirmation and Acceptance

Your existence confirms that everyone and everything around you is yours. There is no one denying that you belong to your wealth or healing; instead, everyone confirms that you are theirs and they are yours. Only your existence proves that those around you are yours, always present with you.

Living in Harmony and Rest

Wherever you are, you are with those who define you, including your nation, family, and spouse. Anything that exists is with you, meaning you are always with those who share your identity. There is no one to contradict this, as even those who oppose you are part of your existence.

Receiving Your Inheritance

You have not taken anyone's place, nor has anyone taken yours. Instead, you exist to be with those to whom you belong. You have received the rest and peace of being with your father, mother, children, and all that defines you.

Conclusion

You have received the rest and peace that comes with your existence, and it is with you now. You exist for those connected to you, and they exist for you, with no separation possible. You are living with your rest and with those who are yours, regardless of where you are. You have received and live in the peace of your existence.

Summarize any YouTube video in seconds

Get summaries like this one for any video, in your language, with the free Summ app.

Download on the App Store
Get it on Google Play

Transcript

Full transcript of “Uwepo 6(2026)@ANDYGUNYU ”. Click a timestamp to open the video at that moment. Need another video? Use the YouTube transcript generator.

0:03 Wewe upo kwa ajili ya tu na yeye yupo kwa ajili yako tu. Wala haukutumwa uwepo kwa ajili ya mwingine ila kwa ajili yake tu. wala hayupo kwa ajili ya mwingine yeyote ila ni kwa ajili yako wewe mwenyewe. Huyu ni Andygunyu ninazungumza kuhusu

0:57 uwepo sehemu ya sita. popote pale ulipo uwepo wako upo kwa ajili yake pekee yake, upo kwa ajili ya familia yako pekee yake. Upo kwa ajili ya taifa lako pekee yake. Upo kwa ajili ya baba yako pekee yake. Upo kwa ajili ya mama yako pekee yake. Upo kwa ajili

1:47 wa Mungu wako pekee yake. upo kwa ajili ya uwepo ulio katika uwepo wako pekee yake. Haukutumwa uwepo kwa ajili ya mwingine yote, ila umetumwa uwepo kwa ajili yake yeye ikimaanisha uwe pamoja na yeye,

2:36 uketi pamoja na yeye. na ndiyo kazi kuu ya uwepo wako ni kuketi pamoja na yeye. hakukutuma kwa mwingine ukatende kwa ajili yake bali

3:23 amekutuma uwepo kwake na uketi, na uwe kwa ajili yake. na hivyo ndivyo ulivyo katika uwepo wako wote kwamba wewe ni wake na upo wa ajili yake. Wewe ni wa baba huyo na upo wa ajili ya baba huyo,

4:16 Upo ukiketi pamoja na baba huyo. wala hakukutuma kwa mama yako ili ukamtendee kwa ajili yake yeye baba yako ila amekutuma uwepo kwa ajili yake yeye mwenyewe baba yako.

5:03 na ndiyo maana daima, milele yote popote ulipo bado uko na baba yako, kwa kuwa upo kwa ajili yake kuketi na yeye tu. ndivyo ilivyo katika mama yako huyo, hajakutuma kwa baba yako umtendee kwa ajili ya mama yako,

5:52 ukae naye kwa ajili ya mama yako kamwe, bali amekutuma uwepo kwa ajili yake yeye mwenyewe, Ukae na yeye mwenyewe, umtendee yeye mwenyewe. Kwani mume wake anamtendea yeye mwenyewe, Wewe uliye mtoto wa huyo mama hauwezi kumtendea baba yako au mume wa mama yako

6:45 kwa ajili ya mama yako, Chochote kile hauna. Ndiyo maana upo kwa ajili ya kuketi na baba yako tu. Upo kwa ajili ya kuketi na mama yako tu. Upo kwa ajili ya kuketi na dada yako tu. Upo kwa ajili ya kuketi na ndugu zako tu. haupo kwa ajili ya wengine uwatendee kwa ajili ya ndugu zako ,kwa ajili ya taifa lako, kwa ajili ya Mungu wako,

7:34 hakuna. Mungu wako hakukuumba ukakae na kingine, ukakitendee kingine kwa ajili yake, ukakae na kingine chochote kwa ajili yake bali amekuumba uketi na yeye, Ndiyo maana umekuwa ni wa sura ya kufanana na yeye na sio na kingine. Ndivyo ilivyo katika baba yako. Baba yako amekuzaa,

8:34 sio uketi na mwingine pasipokujalisha ni mama ,ni dada, ni babu ,ni bibi, ni yeyote, ila amekuzaa uketi na yeye uwe kwa ajili yake, awe ni baba kwako milele yote. ndivyo ilivyo katika mama amekuzaa kwa ajili yake, Ndio maana umekuwa ni wa kufanana na yeye mwenyewe

9:19 na hajakutuma chochote, ukakae na mwingine yeyote, awe baba yako, awe mume wake, awe dada zako ,awe watoto wake au wengine wowote wale. hajakutuma ukaketi nao bali uketi na yeye mwenyewe aliyekuzaa kwani ndiye aliye wa kufanana na wewe.

10:05 taifa lako halijakufanya uwe wa taifa hilo kwenda kukaa na mataifa mengine. haujafanyika kuwa wa kabila hilo kwenda kukaa na makabila mengine bali kuwa wa kabila hilo, kuwa wa taifa hilo, kuwa wa dini hiyo, kuwa wa dhehebu hilo, kuwa wa uzao huo, kuwa wa familia hiyo,

10:50 kuwa wa uwepo huo wa chochote ,yeyote aliye katika uwepo wako pekee. na ndiyo maana popote pale ulipo upo kwa kuwa umelikamilisha hilo kwamba yeyote aliyekufanya hapo ulipo upo kwa ajili yake tu.

11:38 kwa kukuzaa, kwa kukusomesha ,kwa kufikiri, kwa kuwaza, kwa kudhani ,kwa kutenda, kwa kuumbwa ,kwa jinsi yoyote ile yupo kwa ajili yako, Upo kwa ajili yake. Kwani popote pale ulipo upo kumdhibitisha Mungu wako kwamba wewe ni wake, upo kumdhibitisha baba yako kwamba yeye wewe ni wake tu. upo kumdhibitisha

12:31 mama yako, dada yako, kaka yako, mdogo wako, mtoto wako, taifa lako, kijiji chako, familia yako, Mungu wako uwepo wa chochote kilicho katika uwepo wako kwamba wewe ni wake. wewe ndiye udhibitisho kamili, wewe ndiye ushuhuda kamili, na kwamba uwepo wako ndiyo unaodhibitisha kwamba wewe ni wake na kamwe hakuna

13:19 hakuna wala haupo kwa ajili ya mwingine bali huyo tu. Kwa hiyo haijalishi ni nini, haijalishi ni nani ila yoyote au chochote kilicho katika uwepo wako huo ,hicho huyo wewe ni wa kwake.

14:05 chochote kile ,yoyote yule aliyopo kwa wewe kuwa katika uwepo wake, kijiji hicho, baba huyo ,mama huyo kwa kuzaa, taifa hilo kwa kuwa taifa hilo, Mbingu ,dunia , Neno na kila kimoja kilichopo, aliyopo, wewe ni wa huyo ,wewe ni wa hicho tu. na huo uwepo wako ndiyo udhibitisho na ushahidi kamili kwamba wewe ni wa

14:51 huyo tu. na maisha yako yote ,na uwepo wako wote upo umeketi pamoja na huyo ulio wake. kwahiyo hapo ulipo haupo kama upo tu bali upo ikiwa ni wa hapo. na chochote kilicho cha hapo ni cha matumizi yako, ni cha uwepo wako

15:42 ni cha udhibitisho wa uwepo wako. ndivyo ilivyo kwamba; jinsi ulivyo hivyo kwamba wewe ni wa hapo, wewe ni wa huyo, Ndivyo ilivyo kwamba huyo ni wa kwako, Jinsi ilivyo kwamba wewe ni wa hicho au huyo, ikimaanisha wa chochote au yeyote aliye katika uwepo wako, uliye katika uwepo

16:36 wak ndivyo ilivyo yeyote ,chochote kilichopo ikimaanisha aliyopo katika uwepo wako, huyo ni wako Daima, hajawahi kukukataa wala wewe kumkataa Kwa kuwa mmefaanana na kufaana.

17:22 Hakuna wa kuwatenganisha wala kuwaachanisha, Kwani popote ulipo wewe unamdhibitisha ukima kimaanisha upo na yeye, Popote alipo yeye anakudhibitisha ikimaanisha kwamba yupo na wewe. Kwa uwepo wako ni udhibitisho, kwa uwepo wake ni udhibitisho pasipo kujalisha wapi yupo. uwepo wako umedhibitisha kwamba kila kimoja, kila mmoja aliyopo

18:12 ni wako. uwepo wa kila kimoja, uwepo wa kila mmoja pasipo kujalisha ni kipi ,ni yupi amedhibitisha kwamba, ni udhibitisho kwamba yeye, hicho ni chako na kipo na wewe. Ulidhani kwamba yupo ambaye anakataa wewe usiwe wa huyo, wala yule asiwe wako, Wewe usiwe wa utajiri huo wala utajiri huo usiwe wako,

19:06 Wewe usiwe wa uponyaji wala uponyaji usiwe wako, hakuna. Bali kila mmoja amedhibitisha, anakudhibitisha kwamba wewe ni wake, na yeye ni wako. Na hakuna mwingine anayedhibitisha kwamba wewe ni wa mwingine, wala anayekudhibitishia kwamba yule mwingine ni wa kwako ila uwepo wako ndiyo unaodhibitisha

19:59 kwamba huyo ,yule, yeye ,hicho, kile ni cha kwako na daima kipo kuketi na wewe sawasawa na uwepo wako na jinsi ulivyo. na popote pale ulipo upo naye, Upo na taifa lako, Upo na kijiji chako, Upo na kabila lako, Upo na baba yako, Upo na mama yako, Upo na mtoto wako, Upo na mke wako, upo na mume wako. na popote pale mumeo alipo yupo na wewe, Popote

20:50 pale chochote kile kilichopo kipo na wewe. Ikimaanisha hapo ulipo popote pale ulipo upo pamoja na wasura ya jina lako, ikimaanisha upo pamoja na kila kimoja, na kila mmoja, aliyopo, ukiishi pamoja na pumziko lako. kwa hiyo haijalishi uko wapi wewe ni wa huyo tu,

21:42 huyo ni wako tu. Wewe ni wa huyo na huyo ni wako na hakuna wa kupinga. kwani hata anayepinga huyo ni wako. na hakuna wa kuchukua nafasi ya mwingine kamwe, wala wewe kuchukua nafasi ya mwingine. na kufanya popote pale ulipo haujachukua,

22:31 chukua nafasi ya mwingine wala mwingine kuchukua nafasi yako bali upo kuketi, upo pamoja na yule uliye wake, Upo pamoja na yeye aliye wako. Basi popote pale ulipo umepokea uwepo wa pumziko lako, kuketi pamoja na pumziko lako, baba yako,

23:17 mama yako, watoto, kizazi chako, mifupa yako, moyo mpya ,Pia macho ya kutazama, hekima, fikra, mawazo, tajiri mafanikio, uponyaji, muujiza. umepokea uwepo wa muujiza wako, mafanikio yako, viungo vyako,

24:04 wateja wako, mifupa yako, watoto wako kijiji chako na kila kimoja kilichopo katika uwepo wako kwa kufanana na wewe ,kwa kuwa pumziko lako. umepokea uwepo wa pumziko hilo na lipo na wewe hata sasa popote pale ulipo.

24:51 leo hii naishia sehemu hii ya sita ,usikose sehemu zinazofuata ukitazama katika ukurasa wa YouTube kwa jina la Andygunyu. bila shaka upo kwa ajili yake tu naye yupo kwa ajili yako ,na hakuna wa kuwatenganisha wala hakuna wa kukukatalia .na hata sasa umepokea, na hata sasa upo, na hata sasa unaishi pamoja na pumziko lako, pamoja pamoja na aliye wako ,pamoja na

25:43 uliye wake .popote pale ulipo pasipokujalisha uko wapi umepokea, umepokea, umepokea uwepo wa pumziko lako na umekuwa kwako. Yeah.

Share

More video summaries