0:03 Nini tena? Upo sawa? Moyo umevunjika sijui tena njia huzuni inanizonga machozi haai. Nini ikiwa mpumbavu unaniletea? Unaletea maji ya moto kiasi hiki unataka uniue? We mwanamke mbona una roho mbaya kiasi hiki? Yaani unetea ni maji ya moto. Hakuna maji. Nini maana ya kununua friji humu ndani unaletea maji ya moto hivi unataka utumbo wangu uoze au kwa sababu sasa hivi umesikia na mtoto ndio unanionea wivu unataka uniue sasa umiliki hizi mali zote sindio >> lakini Martin si ungeniambia tu kama maji ni ya moto >> maana yake ni nini yaani tafsiri yake ni
0:49 nini nini maana ya kununua friji humu ndani >> mi leo nimesahau kuwasha friji kwa sababu nilikuwa na kazi ya kupika jikoni alafu ulivyoniambia una haraka ndio maana nikasema sio mbaya nikuletee tuunywe tu >> unapika unapika au unachafua vyombo ah kwani nimekosa nini labda mola wangu mimi kusema za ukweli inaniuma sana >> wa kupika utakuwa wewe unapika manyanya unayakatakata na kisu kama umekatakata anapanga >> samahani mume wangu naomba unisamehe >> upumbavu kweli shika shika shika upumbavu wako huu >> nikakuletea ukamlete nani toka hapa mimi sitaki maji yako tena moyo umevunjika
1:36 wapi tulipokosea mateso haya ya ndoa yanawa furaha >> karibu sana mwanangu jisikie uko nyumbani hapa ndio kwenye nyumba ya mume wako mtarajiwa lete kusaidie Hivyo unajua siamini yaani mimi nikakae humu ah tatu eh mtoto mzuri kama wewe hebu angalia hii nyumba kwanza unavyofanana nayo utafikiri ramani uliitoa wewe. Sasa unachoshangaa kitu gani? Hapa ndio umefika kuwa huru. Hapa ndio nyumbani kwako mama. Eh subiri
2:24 nikuie mlengo pasa ngoja nikuie mlengwa pasha kumbe fika mwanangu usijali kila kitu kitakuwa shwali sawa pasa ngoja nikamwangalie pasa mwanangu baba mama amekuja sasa hutenda menda wangu mcha wazi kila kitu kiko sa bati ila nina uhakika huyu hajaenda mbali la kama angeenda mbali asingeacha mlango wazi lakini sio kweli kwa nini asifunge mlango >> nimefanya nigombane na ndugu hata hiyo
3:11 pombe niabudu pete imeleta machungu P >> p >> poka >> kumbe kuna wageni ishikama mama >> hivi mwanangu unajiamini nini? Eh unatoka unaacha milango yoyote iko wazi ukija kuibiwa utamlaumu nani kwa mfano eh vitu vingine msipende watu kuwalaumu sijui yeye yeye wezi sijui nini kumbe wenyewe mnawakaribisha kwa sababu unavyotoka lazima ajue huyu katoka majirani wanakuona huwezi wenyewe jirani tusiseme sana eh huyo naye nani
3:57 >> usitaki kuniambia mama umwezeka kiasi hicho mpaka unasahau huyu si kiduchu >> kiduchu kiduchu huyu kiduchu si ndio Ah >> mama mimi nimechoka sana nahitaji kupumzika na ndio kwanza nimetoka hospitali saa hizi. >> Hospitali? Hospitali tena jamani kuna nini huko hospitali? Ah hebu twende kwa mwanangu kapumzike pale alafu unielezee vizuri. K
4:48 mwanangu kitu gani kimekutokea cha dharura? Eh maana nilikuacha uko safi kabisa. Iliobakia doktor alisema ni mazoezi tu mambo yote yatakuwa shwali. Nini kilichokufanya uende hospitali alafu mamako hujanipa taarifa? >> Mama daktari amesema shemeji anatakiwa apate muda mrefu wa kupumzika. Koma wewe mpuuzi mmoja wewe kiangalie kwanza kilivyokauka na sura yake kavu kama makopa ch huyu shemeji yako huyu wewe una wazimu eh mke wake huyu hapo
5:37 >> haya niambie umechang naye damu dada yako mdogo wako au una udugu naye vipi una ubavu huyo na huyu wewe mwenda waazimu nini wewe >> mama unasemaje kidoo >> vumilie mama Kuchuyo
6:24 be >> samahani mama labda nikuelezee huyu binti yangu mume wake anaake wawili Yaani hao hapo ukwenza. Sasa siku alivyotupa ile dawa kaenda akaiweka vizuri mwenziee akaja akachukua akapasua kapikia wali. >> Hamko makini? Hamko makini? Mmeharibu masharti. Nategemea nini? >> Tumekuja tunaomba msaada wako kwa mara nyingine. >> Sina msaada wowote. Basi ambao wakishafanya kazi wamemaliza wamaliza waile hakuna tena msaada. >> Naomba watusaidie mamangu mwanangu aweze kupona.
7:10 Mbongo >> kazi imekwisha. Sina msaada nanisikia. >> Naomba hata mizimu yako mama mchezo. Unachezea kazi za watu eh. baba >> kelele huko mambo mengine unataka wewe mwenyewe hata uko makini yaani ujionee hata huruma sasa kawa mganga Ah! Ah! Ah!
8:17 Vipi doktor anasemaje? >> Daktari amesema mtoto anatakiwa afanyie operation na mimi amechukua vipingo vyangu kisha watanipa majibu. Wafanye haraka tu waturuhusu kiukweli nimechoka sana kuwa hapo. Yaani nimechoka sana kuangalia na hizi kutaza hospitali. Sasa unavyosema hivyo unaka mimi nifanye aje labda? Unataka nifosi nikutoe au unataka nikutoroshe? >> Sio maana yangu jamani. Sasa mimi naanzaje kutoroka kwa hospitali? >> Hata hivyo uwezo wa kuutorosha ni nao lakini utakuwa unahatarisha hali ya mwanao. >> Mtoto wangu. >> Ah yaani nimemaanisha mtoto wetu. Ulimu uliteleza tu.
9:04 umenishtua sana hiyo kauli yako. Njoo basi umshike mtoto hata kidogo uone jinsi ulivyofanana naye. Haya we haya we >> mimi ngoja niwaache >> siwezi ngoja nikafuate abiri yangu mtaani >> jamani m nilijua leo tutakuwa pamoja tukae wote na mtoto lakini wewe uko busy na mambo yako inaon maana abiria wako ni bora zaidi kuliko huyu mtoto >> lakini kumbuka naenda kuwatafutia pesa ili nyinyi muweze kuishi vizur nikisema
9:49 nikae hapa huyu mtoto atakula
10:37 We dada vipi una mawazo gani? Eh wewe ni makini barabarani waona dawa wa vikoba umeachwa au ni makini ya kuja kuwaeni bwana au mmetoka kuzaa duniani hapa jiheshimu bwana barabarani mna mnapotembea mawazo yenu wekeni sawa kuwa makini >> usiniguse >> hujaumia >> tam tunaweza kuzungumza kidogo >> maana nilikuwa nakutafuta kwenye simu zangu wala hupokei na sms zangu hujibu >> tashi ukiona mtu anafanya hivi basi ujue hataki ukaribu na wewe hataki mazoea na hataki chochote kutoka kwako.
11:23 >> Unamaanisha nini? Labda >> namaanisha nilichokizungumza Tash. Yaani kilichotokea baina yangu mimi na wewe ibaki kuwa ni jambo la bahati mbaya tu. Hata hivyo pia lilikuwa ni jambo ambalo tulikuwa kwenye makubaliano. >> Unazungumza kuhusu nini? Labda kwani mimi jambo la kukupenda wewe limekuwa geni kwako? Usifanyie hiv basi. >> Hapana. Ndio jibu pekee ambalo ninaweza kukuambia hapa kukubeba taratibu >> halfu >> popote utakaponiona sihitaji mazoea na wewe na sihitaji unishikishike nikiwa njiani nadhani tumeelewana pumbavu wewe.
12:08 Wema wangu umenipoza sasa machungu ya mapenzi nayaona. Ukweli ni mimi huyo nielokea huruma yangu imenifunza sasa machungu ya mapenzi nayaona mjinga ni mimi ni mimi ye nilifanya yote nikiamini nitakupa. >> By the way asante kwa msaada wako. Nahitaji kupendwa. Nipe nafasi ni upon yako. Ushike maumivu yako. >> Nikufunike kwa mikono yangu. Usiogope kwangu.
12:55 Niko hapa kukubeba taratibu unanitaji sikukimbili majibu na kusomea tu uso wako. Kila kovu ni tiga iwe ramani ya. >> Haya mama nimekuambia nahitaji muda wa kupumzika. Sijapumzika hata kidogo umeshaniita unaniambia kuna kikao. Hicho kikao kinahusu nini? >> Pasali. Kasali kumbuka mimi ni mamako mzazi sio wa kufikia wala sio mama mdogo. Kwa nini nikikuambia kitu hutaki kunielewa? Ulivyotoka hospitali nilikuambia kabisa kama huyu ni mke wako mtarajiwa na mke wako mtarajiwa inatakiwa mlale pamoja. Eh sikufanya
13:42 ajizi mama wa watu nikamchukua mtoto nikamwonyesha chumba nikaweka begi lake ndani. Haya wewe umekuja umechukua begi umelitoa nje unamaanisha nini? Pasari una nini wewe? Una matatizo gani? Hebu mwangalie mtoto ana kasworo gani lakini >> kwanza mama m nirekebishe kauri yako huyu mimi sio mwenzangu. Sio mwenzangu kwenye chochote kile. Alafu jambo la pili mama hivi uko serious au unanitania? >> Kwa hiyo Pasali mimi mtani wako sindio? Eh m nishakuwa bibi yako au shangazi yako. Unajua kabisa mimi mamako mzazi na kila kitu nitakachosema kimenyooka kipo kwenye mstari. Riri kwa maanayo sipindi wala sipindishi. Wewe ni mwanangu bwana nitakuwaje na utani na wewe? Huyu ni mke
14:28 wako mtarajiwa ila ulichokitenda sijakipenda. Kwa nini nimwonyeshe chupa niweke mizigo yake alafu unatoa nje mwanangu? Una akili gani wewe? Au uko wapi? Fikiria amka basi pasali. Ah mi naona mama bwana hiki kikao chako kimeshaisha kwa sababu mimi nilishakuambia sitaki mwanamke wa aina yoyote. Mimi kwangu huyu ni mgeni kama walivyo wageni wengine. Hivyo watalala huko kuna chumba cha wageni. Sitaki mazoea chumbani kwangu na wala sitaki mwanamke wa aina yoyote. Acha mimi nikapumzike. Moyo umepasuka vipande vipande hakuna wa kungani >> hivi unaongea unaongea kweli au >> yaani huyu mgeni mtarajiwa eh
15:16 >> usijali mwanangu hapa umefika kigoma mwishoni >> vumilia Yaani leo ndio leo asema kesho muongo. Yaani leo kimejichanganya hiki hakichomoki. Hapana msubiria akilala tu mimi nafua nguo zote nakarukia yaani nahakikisha leo hachomoki. Najua kila >> mbona hulali?
16:04 >> Kumbe bado hujalala na wewe >> mimi nipo nipo si unajua mimi mwanaume nalaka mtu umeenda unafikiri mapema hivi nitalala >> usiku wa manane macho yamenywea hivo nakuona tu unahangaika hangika si ulale na mbona hujavua nguo unalaje ngo nguo nikwa nasikia baridi alfu pia nitavuaje nguo na wewe upo alafu bila kuzima taa nasubiri ukilala nitavua usijali sawa >> sasa mimi nina ugeni gani kwako >> nivue nguo nichungulie wewe vipi m nishakuambia ngoja kwanza nitafua tu
16:50 baadaye nguo wewe lala tu si unajua likitanda ni dalili kubwa. Eh wewe lali usijali sa hii we we rafiki yangu usiogope wewe lala tu. Mimi sina shida yoyote. M niko hapa na bado nafikiria fikiria mpango wa kesho. Yaani nimepanga kesho si nianzie wapi? >> Kwa hiyo maek unataka kuniambia kwamba hujanizoea? Mh. Mi nilijua hapa nimelala nitavutwa kidole. Mh. Utashika kibutu cha nywele yaani unisumbue sumbue lakini wewe upo tu. Basi usiende kuvuka njoo tul >> we si uliniambia unakuja tu kupumzika leo hapa kwangu mbona tena tunaanza mimi
17:38 kwanza shuka sijifunikangi nasikia joto. Hebu wacha utoto baka mimi nimekumissi njoo >> wewe usinishike meli ukimeshika mwili unatetemeka anapiga mawe mwisho anaongezeka usinishike kwanza we lala tu sawa >> m bwana njoo tul >> mimi uki akinishika mwili unaenda moyo moyo langu linadunda tunda saa hii ngoja mimi nikalale chini basi nasikia joto hapa kitandani uf
18:24 we lala kitandani sawa >> mi siwezi hap >> manyakenda oh manyakenda unajifanya mjanja lakini mshamba manyakenda oh manyakenda enda hadi leo bado hujashinda. Najua kila kona za barabara lakini hajui kusoma ramani anapenda majivuno maneno matamu kila mtu anamjua anaogopa lakini siri zake hazikosi doa.
19:12 Kijana wa drama maisha ya uongo maneno ya >> Wow. Hebu ona angalia mtoto wangu alivyokuwa mzuri binti yangu ch yaani kapanana mamangu mtupu. Yaani nikimwangalia huyu ni devota mtupu. Ndio maana nimempa jina la mamangu. Yaani namuona devota kabisa. Ah hebu angalia mtoto wangu alivyokuwa mzuri. Eh hebu cheki mtoto wangu alivyofanana na mamangu. Yaani binti yangu mzuri kafanana na mamangu mtupu. Yaani devota mtupu. Martin tunaweza tukaongea mara moja.
19:59 Kuzungumza kuhusu nini tena? Mimi nimemsimamisha hapa kwa sababu nataka nikuonyeshe mtoto wangu. Nikuonyeshe tu binti yangu jinsi alivyofanana na babangu. Ni siimamisha. Je >> yote? Sawa. Lakini na mazungumzo na wewe. Tunaweza kuzungumza. >> Sasa sikiliza kuzungumza na wewe sio shida. nakupa dakika tano na tena nazihesabu hakikisha unazungumza mazunzo yako yote ndani ya hizo dakika tano na unamaliza >> mume wangu najua siku zote ulikuwa ukihitaji mtoto lakini sikuweza kukupatia kutokana na mipango ya mwenyezi mungu lakini sasa hivi ume umepata mtoto huko
20:46 nje ya ndoa nisiwe muongo nimeumia sana moyoni mwangu nahisi moyo wangu unawaka moto >> usiumie mchezo eh lazima uumie mimi mwenzako saasa hivi mimi naitwa baba devota vipi wewe mwenzangu eh na wewe kuumia kwako mimi ndio furaha yangu sasa lazima uumie >> sijui ni ujinga wangu au ni upoe wangu Lakini Martin nina furaha sana juu yako. Yaani furaha yako wewe ndio kila kitu kwangu. Lakini nakuomba kitu kimoja. Jitahidi usiendelee kuniumiza. Jitahidi
21:32 usiendelee kunipa maneno yake je. Tafadhali naomba usinikumbushe kuwa unanichita. >> Sikiliza dakika tano nilizokupa zimeshaisha. We lia hapo we. Lia lia ukimaliza nenda kaniandalie chakula nile mimi niende kwa mama devota huu ndio muda wa kwenda kukaa na mtoto wangu nambembeleza sina muda wa kukaa kupizana kelele na wewe >> nilikuamini kama jua linavyoamini nilikuamini kama maji yanavyokumbatia mtoto lakini leo leo macho yamenibubujika
22:18 sikuamini macho yangu sikuamini moyo wangu >> kuna kitu kingine nilikuwa nataka nikuambie mume wangu huenda hiki kinaweza kikakupatia furaha >> tam kinachoweza kunipa furaha kwa sasa ni binti yangu pekee yake na hakuna kitu kingine kinachoweza kunipa furaha zaidi ya huyo mtu >> moyo umepasuka vipande vipande hakuna Kuna wa kuunganisha kuna wa kufunga niliacha kila kitu kwa ajili yako. Sasa nauliza uliona nini kwangu?
23:04 Wewe binti lala vizuri basi na mimi nataka nilale. umelalaje hivo? Hivi uko sawa kweli? Eh yaani umenikuta nimepumzika alafu eti nyanyuka nilale. Hivujui kama hiki kichuma sasa hivi ni changu? Eh alfu yaani kwa jinsi ambavyo anakuangalia yaani hauna hadhi ya kulalia kichumba. Wewe unatakiwa ukalale store sijui unanielewa >> wewe ulitakiwa ukalale kule na mama lakini nashangaa umeng'ang'ania humu ndani muda wote hutaki kutoka hatulali nini tena makelele mi kelele usiku
23:51 utafikiri wachawi haya kuna nini hapa nini tena kimetokea >> si wewe ukija kazi wako eti ananiambia nitoke humu nisilale. unasemaje we kiduchu hivi wewe una akili timamu wewe eh fuzi zako hizi zinafanya kazi nakuuliza au moja imekatika jiangalie juu mpaka chini una hadi wewe ya kulala kitanda kimoja na tatu wewe eh mpuuzi mmoja mpumbavu wewe sikiliza nikwambie tena unisikilize kwa umakini na ya kuingia akilini kwa taarifa yako tatu atalala hapa mpaka mume wake pasi atakavyopona. Akipona ataenda kulala na mumewe na wewe utarudi hapa. Lakini kwa sasa hivi sto
24:43 >> hutaki kwenda store staying room sebleni sehemu ziko nyingi hata kule nje uani vile vile unaweza ukajilaza na ule mbwa kwenye mabanda ya mpwa kule. Kwani usilale kule kwenye mibanda ya kuku kule kote si unaanza kulala kule kwani unanyeshewa mbona kote kumezekwa kwa nini hujielewi wewe >> lakini mama hiki ni chumba changu siwezi kwenda kokote >> mama mungu wangu we ushajimilikisha tayari yaani wewe kija kazi kabisa eh mfanyakazi wa ndani beki tatu unakuja hapa unaanza kutia amri eti hiki chumba changu wewe unazimu eh chumba chako hiki Wakati wakati mwanangu anajenga wewe ulikuwepo wewe unajua mwanangu kaanza mguu kuujenga kaanza kushoto au kulia
25:28 shetani ibilisi wewe toka nenda kae >> hei hei hei hei jamani jamani jamani jamani humu ndani hatuwezi kukaa hata kwa dakika chache kwa amani jamani mama una tatizo gani >> muulize beki tatu wako >> we kiduchu nini shida >> kiduchu huyo vumilie mama Kuju